Wewe ni shabiki wa Ciara ? hii ndio single yake mpya imetoka
Nafahamu ni mashabiki wengi ambao
mnatamani kusikia kile alichokuletea Ciara sasa basi time hii ameachia
hii single yake mpya iitwayo I Bet.
Unahitaji kupata kila stori inayonifikia mtu wangu? Niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment