Thursday, January 15, 2015

RONALDO NA KIATU CHAKE HIKI HAPA



Leo tutamuona Cristiano Ronaldo na kiatu chake cha dhahabu uwanjani kwa mara ya kwanza!

The-Mercurial-CR7-Rare-Gold-boots
Baada ya kushinda tuzo ya tatu ya mwanasoka bora wa dunia katika tuzo za Ballon d’Or, mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Christian Ronaldo leo atavaa kiatu chake cha dhahabu kwa mara ya kwanza wakati wa mchezo wao dhidi ya  Atletico Madrid.
FIFA Ballon d'Or awards
Mchezaji huyo wa zamani wa Man United  atavaa kiatu hicho kwa mara ya kwanza alichozawadiwa na kampuni ya Nike ambacho kina nembo ya Mercurial CR7 Rare Gold, kimetengenezwa kwa dhahabu na almasi.
The-Mercurial-CR7-Rare-Gold-boots (1)
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment