SIKIA HILI KAMA ULIKUWA HUJUI
Alhamisi ya January 15 kwenye U Heard imesikia story ya msanii Mabeste
ambaye Mwaka 2014 haukuwa mwaka mzuri kwake kutokana na familia yake
kuandamwa na matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa yaliyohusishwa na
imani za kishirikina na kumlazimu kuweka muziki pembeni na kutumia muda
mwingi kuhudhuria Kanisani.
Soudy Brown amepiga story na mke wa Mabeste
ambaye amesema aliugua kwa muda wa miezi 6 lakini hayuko tayari
kuzungumzia ishu hiyo kwa undani zaidi kwa sababu ni mambo yanayomuumiza
na anahitaji kusahau, kwa sasa anamshukuru Mungu yeye na Mtoto
wanaendelea vizuri.
Hutopitwa na jambo na niko tayari kutum,ia muda wangu ili kukupasha kila kinachotokea ndani na nje ya nchi, kupitia tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment