Mwanaharakati wa mapambano wa kupiga vita vitendo vya Kikatili vya Kijinsia, Rehema Hassan, kutoka Wilaya ya Korogwe akielezea matukio yanayotokea Wilayani kwake wakati wa kikao cha wadau wa mapambano kilichoitishwa na Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tree of Hope na kufanyika kituo cha watoto cha YDPC Tanga jana.
Mkurugenzi wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Tree of Hope, Fourtunata Manyeresa, akiwaonyesha wanaharakati wa kupiga vita ukatili wa kijinsia fomu ya kujiunga na kampeni ya Tunaweza wakati wa kikao cha wadau wa mapambano wa vitendo vya ukatili wa kijinsia kilichofanyika katika ukumbi wa watoto YDPC Tanga jana.
No comments:
Post a Comment