Sunday, January 4, 2015

HEKAHEKA KISIWANI PEMBA MJI WA WETE

  Mkazi wa mji wa Wete Wilaya ya Kaskazini Pemba akipita barabara  ya Kilimandege kuelekea bandarini kubeba mizigo inayotoka nje ya kisiwa hicho, usafiri wa gari ya ng'ombe ndio umekuwa ukitegemewa sana kwa wakazi wa mji huo.




No comments:

Post a Comment