Kwako shabiki wa Ice Prince.. ametoa video yake mpya
Rapper Ice Prince kutokea Nigeria time hii ameachia video mpya iitwayo One Day iliyoongozwa na director Moe Musa.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment