Teknolojia imezidi kwenda mbali kiasi hiki… Sasa kuna viatu vinavyojifunga kamba!
Kadri siku zinavyozidi kwenda Teknolojia
nayo imezidi kutupeleka mbali, mengi yanatushangaza na kwa hali ilivyo
mengine ya kutushangaza hayako mbali pia kuja!
Ni kama miaka 20 imepita tangu tuone
viatu vikijifunga kamba kwenye matangazo ya viatu, majibu yakawa rahisi,
utaalamu wa Kompyuta ulifanikisha kutengeneza matangazo ya namna hiyo,
2015 Kampuni ya Nike imeamua kufanya kweli.
Wataalamu Ujerumani wamefanikiwa kubuni
viatu ambavyo vina uwezo wa kujifunga kamba vyenyewe, unapovaa kiatu
hicho, sensa ya kiatu inaamrisha zinajifunga zenyewe baada ya mguu
kukawa sawa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment