Wachezaji wa Korea Kaskazini na Kusini wapiga selfie
Picha za wanawake hao wawili zimesifiwa sana kwa kuashiria moyo wa Olimpiki wa kuwaleta watu pamoja.
Korea Kaskazini na Kusini huwa na uhasama mkubwa.
Uhusiano baina ya nchi hizo mbili umedorora hata zaidi, kutokana na hatua ya karibuni ya Pyongyang kufanyia majaribio makombora.
No comments:
Post a Comment