Saturday, September 10, 2016

SIMU HUATHIRIA MKONO MAWIMBI YA SIMU

Mkono 'huathiri' mawimbi ya simu

Mwanmke akitumia simu
Je, unafaa kushikilia simu yako kwa kutumia mkono upi...?
Utafiti umebaini kwamba mkono unaathiri jinsi simu yako inapokea mawimbi.
Utafiti huo unasema simu tofauti hufanya vizuri ikiwa imeshikiliwa kwa kutumia mkono mmoja kuliko mkono mwingine.
Prof Gert Pedersen, kutoka chuo kikuu cha Aalborg anasema kwamba antena (kifaa kinachopokea mawimbi) za simu huwa zimewekwa mahali ambapo binadam hushikilia simu yake, na hivyo kuathiri jinsi simu inapokea mawimbi.
BBC

No comments:

Post a Comment