Madereva wa bodaboda Handeni
Tanga,Juma Ali na Rajab Shaban, wakisaidiana kupakiza madumu ya maji kutoka
kijiji cha Kweliamba kilometa 25 hadi Handeni
mjini na kwenda kuuza Handeni
mjini. Dumu moja la maji huuza 1,500.
Mkazi wa Handeni , Manyehe Muya, akijaza maji kutoka katika bomba kijiji cha Kweliamba Handeni kilometa 25 kutoka Handeni mjini na kuuza dumu moja 1,500.
Wakazi wa kijiji cha Kweliamba Handeni wakichota maji na kuweka katika madumu ambayo huwauzia wateja wanaotoka Handeni mjini. Wilaya ya Handeni kwa muda mrefu iko na kero ya maji.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment