Mwanafunzi
wa shule ya msingi Enzi Kilulu halmashauri ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, akipita kandokando ya jengo la shule
hiyo ambayo iko chakavu na wanafunzi kulazika kuhamishwa . Jengo hilo imo ofisi
ya mwalimu mkuu.
Diwani kata ya Kilulu halmashauri ya Wilayani ya Muheza Tanga , Hashim Kiango kushoto na Mwenyekiti wa kijiji cha Enzi, Haruni Mussa, wakiangalia jengo la shule ya msingi ya Enzi iliyobomoka na kulazimika wanafunzi kuhamishwa madarasa mengine, Jengo hilo imo ofisi ya mwalimu mkuu.
Kwa habari matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment