Bomba la mafuta litakalojengwa kutoka Uganda mpaka Tanga lapatiwa jina hili
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
April 24 2016 aliwasili Tanzania akitokea Uganda alipokwenda kwenye
mkutano wa majadiliano ya bomba la mafuta lipite wapi kati ya Tanzania
au Kenya na bandari ya Tanga ikafanikiwa kupita na kukubaliwa kuwa bomba
la mafuta hilo litaelekea bandari ya Tanga.
Hivi
karibuni viongozi wa Tanzania na Uganda walikutana na kujadili bomba
hilo litaitwaje kwa ajili ya kufahamika zaidi na Waziri wa nishati na
madini, Sospeter Muhongo alihudhuria kikao hicho, hapa amebainisha jina
la bomba hilo………..
>>>’ni la nchi mbili la Uganda na Tanzania kwenye kikao chetu kule Uganda tulilipatia jina linaitwa ‘The East African crude oil high plant’ ndio jina lake‘
millardayo
No comments:
Post a Comment