Wafanyabiashara wa matunda aina ya
Tikitimaji barabara ya 8 Ngamiani Tanga wapanga biashara yao kusubiri wateja,
kipindi hiki cha hofu ya kuzuka ugonjwa wa Kipindupindu halmashauri ya jiji la
Tanga limetoa tahadhari kwa wananchi kuweka mazingira mazuri katika maeneo yao
pamoja na kuosha matunda kabla ya kula.
No comments:
Post a Comment