BreakingNews: Ziara nyingine ya kushtukiza bandarini Waziri mkuu Majaliwa….
Hii inakuwa ziara ya tatu kwa viongozi
wa juu wa Tanzania kufanya Ziara za kushtukiza katika ofisi na wizara
mbalimbali za Serikali.
Tulishuhudia siku ya pili baada ya Rais
Dr. Magufuli kuapishwa, asubuhi yake alifanya ziara ya ghafla Wizara ya
fedha na kujionea hali halisi, haikuishia hapo tena hospitali ya taifa
Muhimbili na kukuta changamoto ya vitanda vya wagonjwa na dawa.
Leo Nov 27 headline ikiwa ni siku saba
tangu kuapishwa kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amefanya ziara ya
kushitukiza katika bandari ya Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment