
Hivi
ndivyo ilivyokuwa wakati jina la waziri mkuu mteule Mheshimiwakassimu
Majaliwa lilivyoletwa na kutajwa bungeni leo nov.19, 2015 huko Bungeni
Dodoma.
1. Mpambe wa Rais (Aide de Camp ) , Kanali Mkeremi akiingia bungeni na bahasha yenye jina la waziri mkuu mteule. 

2. Hapa Kanali Mkeremi akimkabidhi spika wa Bunge Mh. JobNdugai jina la waziri Mkuu wa Tanzania kama lilivyopendekezwa
na mheshimiwa Rais john pombe Magufuli

3. Hapa ni spika Ndugai akiinua juu bahasha yenye jina la waziri mkuu mteule Mh. Kassimu Majaliwa. 

4.Wakati
hayo yote yakiendelea , mh kassimu Majaliwa alikuwa akija mdogo mdogo
mjengoni bila kujua kuwa amkula shavu la kutakata sana.
5.Hapa Waziri mkuu akipongezwa wa wabunge wenzake mara baada ya jina lake kutajwa na Mh. Spika Job Ndugai.

No comments:
Post a Comment