Saturday, November 7, 2015

VIMBWANGA VYA WALIMWENGU

Jamaa na mswaki wake ndani ya treni Uingereza.. hana habari na mtu yani !!

Kama ingekuwa ni show ya comedy tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi yake !!
Sio movie wala comedy, jamaa mmoja amejikuta akibeba headlines kwenye mtandao ya youtube, watu wanagonga likes na kushare na kuonekana yuko ndani ya treni ya abiria London Uingereza, busy kabisa na mswaki wake huku akisoma gazeti.
Subway
Unaambiwa baada ya jamaa kushuka, kila mtu alijikuta akiangua kicheko huku mwenyewe akiendelea na mambo yake mtaani bila kujali lolote.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment