Mourinho kuteuliwa meneja wa Man U
Klabu ya Manchester United kinatarajiwa kumteua Jose Mourinho kama meneja wao mpya.
Inaaminika
kuwa mkataba na Mourinho, raia wa Ureno mwenye umri wa miaka 53
uliafikiwa kabla ya mechi ya fainali kati ya Crystal Palace na Man U,
ambapo Man U ilishinda kwa mabao 2-1.Mourinho amekuwa bila kazi tangu afutwe na klabu ya Chelsea mwezi Desemba.
Manchester United inapanga kuwasilia kwake wiki ijayo, baada ya kumfahamisha Van Gaal kuwa muda wake umekwisha.
No comments:
Post a Comment