Serikali ya Kenya yasema shisha ina Cocaine
Wizara ya afya ya
Kenya imekuwa ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha
,katika siku hii ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani.
Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za uvutaji wa sigara.pamoja na Shisha ambayo ni maarufu kwa watumiaji wa miraa nchini KENYA.Uvutaji huo wa tumbaku umetajwa kuwa ni hatari sana.
Walaji miraa hupenda kutumia tumbaku hiyo inayovutwa kwa mtindo wa birika.
No comments:
Post a Comment