Saa ya Haile Selassie yarejeshewa ‘mmiliki’
Maafisa wa mahakama
nchini Uswizi wameamua kukabidhi saa iliyotumiwa na Mfalme Haile
Selassie kwa mtu aliyepatikana na saa hiyo, shirika la habari la
Bloomberg limeripoti.
Familia ya Selassie ilisema saa hiyo
iliibiwa kutoka kwenye Kasri la Mfalme na wanajeshi waliotekeleza
mapinduzi ya serikali mwaka 1974 au ikaibiwa kutoka kwenye sefu muda
mfupi baada ya mapinduzi.
Bloomberg wanasema saa hiyo ya muundo wa Patek Phillipe iliyopambwa kwa dhahabu inaweza kuuzwa £1m (£690,000) kwenye mnada.
Kampuni ya kupiga mnada ya Christie imekataa kufichua jina la mtu anayemiliki saa hiyo na ambaye anapanga kuiuza mnadani.
Kampuni ya kupiga mnada ya Christie imekataa kufichua jina la mtu anayemiliki saa hiyo na ambaye anapanga kuiuza mnadani.
No comments:
Post a Comment