Tuesday, February 17, 2015

AJALI NI POPOTEE

Ajali iko popote, huyu imemkuta akiwa anafua nguo karibu na mto

how-to-wash-clothes-by-hand
Mwanamke mmoja Kenya amefariki baada ya kuanika nguo katika  nyaya za senyenge zilizokuwa zimeshikana na nyaya za umeme zilizokuwa zimekatika karibu na mto ambao wanachota maji.
Wakazi wa eneo hilo wamesema hawakujua kama nyaya hizo za umeme zilikuwa zimegusana na nyaya za fensi ya kuanikia nguo na matukio kama hayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara na kuomba Shirika la Umeme Kenya kuondoa nyaya hizo.
Sababu ni mara nyingi sana shida ikitokea kule chini inapigiwa simu.. kwanza iling’oa miti ikachoma forest huku chini… waya ulikatika na wakati yule mzee alikuwa anasema hizo waya zilishikana alafu zikatetemesha nyumba yote“– alisimulia shuhuda huyo.
Hapa ni story hiyo ambayo nimekuletea kutoka K24 TV.

Hakuna Stori itakayokupita ,niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment