Ebola iliathiri shughuli nyingi.. Kuna hii taarifa kuhusu wanafunzi mashuleni
Waziri wa elimu Liberia, Etmonia Tarpeh
ametangaza kufunguliwa kwa Shule zilizokuwa zimefungwa kwa zaidi ya
miezi sita nchini humo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Ufunguzi huo ulipangwa kufanyika
February 2, lakini ulisogezwa mbele ili kupata nafasi ya kusambaza vifaa
vya kutosha kwa ajili ya kufanyia usafi wa mazingira na vifaa
vingine kwa shule za Serikali na binafsi.
No comments:
Post a Comment