Waandishi
wa habari Tanga
wakiangalia eneo ambalo majambazi walikuwa wamejificha mapangoni na
kufanya makazi eneo la Majimoto Amboni Tanga na kutokea kurushiana
risasi na askari polisi kwa
kushirikiana na wanajeshi ambapo askari sita walijeruhiwa na mmoja kati
yao kufariki akiwa hospitali na kuzikwa kijijini kwao Bungu Korogwe jioni hii
No comments:
Post a Comment