Story mbili kubwa kutoka Uganda, ipo ya Idi Amin na ishu ya waganga wa kienyeji.
Kulikuwa na taarifa kwamba Serikali ilikuwa katika mchakato wa kuomba mabaki ya mwili wa Idi Amin Dada
kufukuliwa na kuletwa nchini humo kwa heshima kama mojawapo ya juhudi
za kuleta uwiano, umoja na uridhiano kati ya jamii za Uganda.
Story nyingine kutoka Uganda ni ile inayohusu waganga Kampala kufanya mkutano na kumpitisha Mganga Mkuu Mama Fina
ambaye atawaongoza kwa muda wa miaka mitano, huku wakitaka kutambuliwa
kwa juhudi zao za kusuluhisha matatizo mbalimbali kwenye jamii.
No comments:
Post a Comment