Wednesday, February 18, 2015

UPOTOSHAJI HABARI

 Afisa Mhifadhi Msaidizi Mapango ya Amboni Tanga, Tabu Mtekelezo akimuonyesha Mwandishi wa Tangakumekuchablog aina ya michoro pamoja na njia za kuingilia ndani iliyomo ndani ya mapango hayo wakati alipofanya ziara kujua kama majambazi hayo yalijichimbia maeneo hayo au laa. Hata hivyo Mhifadhi huyo alivilaumu vyombo vya habari kulitaja eneo hilo wakati majambazi hayo yalikuwa zaidi ya kilometa tano ambapo hayahusiano na mapango hayo.




No comments:

Post a Comment