Monday, February 16, 2015

PICHAZ NA MATUKIO YA UJAMBAZI MAPANGO YA AMBONI PUNDE TU

Tangakumekuchablog imefika mapango ya pori la majimoto Amboni Tanga sehemu ambayo majambazi yalikuwa yamejificha na kuendesha opereshini zao za kihalifu.

Eneo hilo ambalo ni mapango yanayosadikika kuwa na njia za chini kwa chini hadi Mombsa na Mkoani Kilimanjaro kumekuchablog ilipata nafasi ya kupata picha na matukio mengi ya kusisimu ikiwa na pamoja na kukuta za kijadi zikiwemo sime na mapanga ambayo majambazi hayo wakati wa kurushiana risasi na polisi walitokomea na kwenda kusikojulikana hadi leo hii.

Mengi mazuri tembelea blog hii hapo baadae na kujionea mahandaki na mapango ambayo majambazi hayo yalikuwa yakifanya makazi yao.

www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment