
Marehemu
Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince
Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya
taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
’Mzee
alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa
ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi
wa sigara ila zaidi hakuwa na tatizo jingine lolote manake baba yangu
alikua strong’

‘
Alianza
kuugua vidonda miezi minne iliyopita, miezi miwili alikua anavumilia tu
lakini miezi miwili ya mwishoni ndiyo vilizidi kumsumbua, mazishi
tunategemea kuyafanya keshi (leo) February 16 2015 saa kumi jioni kwenye makaburi ya
Kisutu lakini safari ya kwenda msikitini tutaanza saa 7 mchana‘ – Dully.
Mzee Sykes alizaliwa mwaka 1952.
Hutpitwa na habari yoyote na niko tayari kukutmia muda wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment