Thursday, April 23, 2015

AFRIKA KUSINI BADO HAKUJATULIA

Stori nyingine kwenye Headlines baada ya raia wa kigeni kushambuliwa Afrika Kusini..

Zimbabwe-victims-of-xenophobic-attacks-in-South-Africa-disembark-from-a-bus-on-arrival-at-the-International-Organisation-for-Migration-Reception-and-Support-Centre-in-Beitbridge-Zimbabwe-600x400Wakati dunia ikiendelea kulaani machafuko yanayoendelea Afrika Kusini kutokana na wenyeji kuwashambulia wageni, kilichochukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari kwa sasa ni ishu ya raia wa kigeni waliokuwemo ndani ya nchi hiyo kuanza kurudi kwenye nchi zao.
Zimbambwe ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo watu wao wameathirika kwenye machafuko hayo, tayari watu 400 wamerudi nyumbani kwao kwa usafiri wa mabasi ya abiria.
Zimbabwe-victims-of-xenophobic-attacks-in-South-Africa-disembark-from-a-bus-on-arrival-at-the-International-Organisation-for-Migration-Reception-and-Support-Centre-in-Beitbridge-Zimbabwe-600x400
Moja ya taarifa iliyopewa uzito leo ni ishu ya Watanzania waliokuwa Afrika Kusini kurudishwa TZ kutokana na machafuko hayo.

No comments:

Post a Comment