Hata hivyo kuna baadhi ya washabiki wameipa nafasi Chalsea jambo ambalo chachu ya kulisubiria pambano hilo likizidisha.
Dakika ni 90 ngoja tuone na tuwaone wote walizipa nafasi timu zao.
Kwa matokeo ya moja kwa moja na ufuatiliaji wa mwenendo wa gemu hiyo usiache kufuatilia blog hii mara kipenga kitakapopulizwa, ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment