Mama kafiwa na mtoto wake, akakutanishwa na mganga ambaye aliahidi kumrudisha.. Kilichofatia je??
Mama huyo amesema walianza mawasiliano,
mganga huyo akamwambia atoe sh 100.. baadae walienda kwa mganga huyo
Dodoma na kuoneshwa binti ambae aliona kama ni binti yake, mganga
akataka allipwe sh. milioni mbili na shilingi 100 ili aweze kumrudisha.
Baadae walifika wakaoneshwa binti ambae
hakuwa mtoto wake, mganga akawaambia kuwa binti huyo ameshamuweka kwenye
gari lakini hawawezi kumuona hadi wakifika Dar.
Walipofika Dar hawakumuona mtoto kwenye
gari, wakampigia simu mganga akawaambia waendelee kusubiri, baadae
wakagundua kuwa jamaa hakuwa mganga ila ni tapeli.
No comments:
Post a Comment