Imetokea saa chache zilizopita, Wanafunzi walikua wanaimba na kuenjoy alafu stage ikatoboka na kuzama
Kilichofata ni stage kuzama baada ya
kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo mtu aliyekua anarekodi tukio zima na inaonyesha live
jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.
No comments:
Post a Comment