Chelsea waanza sherehe za ubingwa kwa vijana!!
Timu yao ya vijana jana usiku iliweza kudhihirisha kuwa ni bora zaidi mbele ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich aliyekuwa uwanjani hapo wakati akishuhudia vijana wake wakiichapa Man City mabao 2-1.
Ushindi huo umewafanya walibebe kombe hilo kwa mara nyingine kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2.
No comments:
Post a Comment