Mama wa mtoto hakuja shule kwa heri kabisa, kisa mtoto wake kazuiwa simu..
Nimekumbuka hilo baada ya kukutana na
hii story toka India, mzazi mmoja hakupendezwa na suala la mtoto wake
kukatazwa kwenda na simu shuleni, akavamia ofisi ya walimu na kuanza
kumshambulia Mkurugenzi wa shule hiyo.
Mama huyo Taranjit Kaur Hundal aliingia kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Shule hiyo, Jyoti Nagrani na kufunga mlango kwa ndani alafu akaanza kumshambulia.. Tukio lote limerekodiwa kwenye video.
Mama huyo ambae ni mke wa mwanasheria ana kesi ya kufanya shambulio.
Huopitwa na habari inayonifikia na niko tayari kukusogezea muda na wakti wowowte kupitia hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment