Hawa majambazi walimuibia Mzungu leo Dar es salaam, wakadakwa hapa kwenye foleni na gari lao
Ishu inahusu tukio la ujambazi ambalo
limetokea leo Kinondoni Dar es salaam ambapo majambazi wanne wamemvamia
na kumpora mtu mmoja ambae ni raia wa kigeni (mzungu) na kisha
wakakimbia.
Sasa kwa ufupi ilivyokuwa kuna mtu aliwafatilia mpaka eneo la mataa ya Red Cross na gari yake alafu akawablock ambapo Askari tayari waliopewa taarifa wakafanikiwa kuwakamata wakiwa na bunduki mbili.
No comments:
Post a Comment