Kipindi hiki cha kuzuka kwa hofu ya ugonjwa wa Kipindupindu Serikali na Asasi pamoja na watu binafsi wamekuwa wakitoa elimu ya usafi wa mazingira na wa mtu binafsi, Kumezuka hofu ya ugonjwa huo kuingia hivyo wananchi kutakiwa kuweka mazingira maziri yakiwemo majumbani mitaani na masokoni, hata hivyo kuna baadhi ya watu wamekuwa wakikaidi agizo la Serikali ikiwemo halmashauri na kupelekea masoko na maeneo mengi karibu na makazi ya watu madampo na mitaro kujaa takataka na madinbwi ya maji hivyo kutishia kuzuka kwa ugonjwa huo. Ili kuweza kuutokomeza na kupotea wananchi wanatakiwa kutunza mazingira yaoa kwani ugonjwa huo huuwa.
No comments:
Post a Comment