
Kwenye
spika zako hajasikika muda mrefu kimuziki ingawa kuna stori tofauti
ambazo zimekua zikimhusisha staa wa Bongo Fleva Feruz ikiwemo inshu ya
kuchimba madini na duka la nguo.

Good
news ambayo Feruz leo ameshare nasi ni kuhusu biashara nyingine ambayo
anategemea kuizindua Jumatano ya February 04,biashara ambayo anaifungua
Feruz ni biashara ya mgahawa ambao utakua ukihudumia maeneo ya Darfree
Market.
Feruz kasema mgahawa huo umegharimu kama milion 30 za Kitanzania na
utakua ukitoa huduma ya chakula cha aina yoyote baada ya uzinduzi wake
kufanyika.
No comments:
Post a Comment