Kilichowakuta Mchungaji na waumini wake kwenye ibada ya mazishi makaburini..
Hilo lilitokea kwenye makaburi ya Campo da Esperanca wakati kukifanyika ibada ya mazishi.
Watu wawili walipelekwa Hospitali ya
jirani ili kutibiwa majeraha madogo waliyoyapata baada ya kuanguka, watu
walichanganyikiwa baada ya kutokea tukio hilo, Mhubiri huyo alijikuta
kwenye wakati mgumu na kushindwa kumalizia ibada.
Hakuna Stori itakayokupita , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment