Rapa Bibi Cheka akizungumzia ishu ya kukumbana na jini.
Bibi Cheka ambae amesema kuwa jini hilo la kike lilikuwa linawavamia watu wanaocheza kamali na kuchukua hela pamoja na kula kuku mtaani, na yeye alikumbana nalo nje ya choo nyumbani kwake na kuanguka chini ndipo alipoenda Hospitali na kupatiwa matibabu bila mafanikio na baadae alienda kwa mtaalam ambae alimsaidia na kupona.
Makubwa ila ndio mambo ya www.tangakeumecha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment