Wachimbaji wa kokoto na mawe katika mapango ya Amboni Tanga eneo ambalo
lilitokea machafuko ya majibizano ya risasi baina ya kikosi cha polisi
kwa kushirikiana na jeshi la Wananchi (JWTZ) wakiwa wamekaa kijiji cha
Mleni kusikilizia nini kinachoendelea baada ya kuzuiwa kutoingia eneo
ambalo walikuwa wakifanya kazi ya uchimbaji wa mawe na kokoto na hivyo
kudai kuathirika kimaisha wao na familia zao.
Nitakufikishia kila linalonifikia na niko tayari kukutumia muda na wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment