Friday, April 3, 2015

MAMA NA MWANAE WAZALISHWA NA MWANAUME MMOJA

Mama na mtoto wake walizaa na mwanaume mmoja.. Unajua wanachohofu kutokea baadae?

mother460
Kitu cha kwanza mama huyu anasema haoni sababu kumchukia mtoto wake kwa kitu ambacho kimetokea zaidi ya miaka miwili iliyopita; “There is no need to hate my daughter for something that happened more than two years ago..“– Mildred Mashego.
Hii imetokea Mpumalanga, South Africa… Mildred na mtoto wake wa kike, Patricia Mashego walijifungua mwezi August 2012, lakini ikawa story kwenye Headlines baada ya kujua kwamba mwanaume aliyewapa ujauzito ni mmoja!!
Vincente Malumane ni mwanaume ambaye aliwapa ujauzito wanawake hao, alikubali kwamba ni kweli anahusika na ujauzito huo lakini hakujua kwamba Mildred na Patricia ni mtu na mtoto wake.
Mildred alichukizwa baada ua kuujua ukweli, japo anasema anamchukia Vicente ila hana kinyongo chochote na mtoto wake.. Wanawalea watoto wao pamoja, hofu waliyonayo kwa sasa ni jinsi ambavyo watawaelezea watoto wao watakapokua wakubwa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment