Monday, October 10, 2016

NAPIMA MATIKITIMAJI, KARIBUNI WATEJA



 Mfanyabiashara wa matikiti maji barabara ya 8 Ngamiani Tanga, Abdalla Seif, akipima matikiti aliyoyaweka katika tenga na kuuza kwa wateja. Tikiti moja lilikuwa likiuzwa 3,000 hadi 4,000 kulingana na ukubwa wake.






No comments:

Post a Comment