Tuesday, October 11, 2016
MUHEZA KILIO CHA MAJI ZAZIWEKA FAMILIA KATIKA MIZOZO
Wakazi wa kijiji cha Machemba kata ya Ngomeni Wilayani Muheza Mkoani Tanga, wakigombea maji katika bomba la maji ambayo dumu moja hununua kwa shilingi 300 na upatikanaji wake ni wa shida.
Baadhi ya familia zilizozungumza na tangakumekucha zimedai kuwa huamka saa tisa usiku kuwahi foleni ambayo upatikanaji wake ni wa mashaka.
Wamesema kuwa baadhi ya nyakati huenda kuwahi foleni na nyuma waume zao huwa hawaamini na kuwa tuhuma hivyo kuingia matatizoni na kupatwa na kitisho cha kuvunjika ndoa zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment