UPDATES: NDEGE YA AIRASIA QZ8501 ILIYOPOTEA NA WATU 162
ZOEZI la kuitafuta Ndege ya AirAsia QZ8501 iliyopotea ikiwa na watu
162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore jana limeendelea leo asubuhi.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la utafutaji ndege hiyo zinadai
kwamba mabaki ya AirAsia QZ8501 yameonekana baharini na kuna uwezekano
ndege hiyo ipo chini ya bahari.
No comments:
Post a Comment