Jay Z na familia yake mapumzikoni. Baada ya Iceland safari yao imeendelea hivi Asia…
Hawajarudi Marekani bado, December ni
mwezi wa mapumziko kwao, wanazunguka sehemu mbalimbali Duniani
wakienjoy, pichaz za mwisho walizoshare na sisi kwenye mitandao
inaonyesha wako zao Thailand, good times palepale, Queen Bey ameonekana kuenjoy vacation hiyo akiwa juu ya Tembo.
Bey, Jay , pamoja na binti yao Blue huenda wakasherekea mwaka mpya wakiwa hukohuko Thailand, tazama picha zao.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment