Baada ya Davido, sasa ni zamu ya Yemi Alade kusign deal na Close Up…
Nyota wa muziki kutoka Nigeria mwenye Hit Single ya ‘Johnny’, Yemi Alade naye ameingia kwenye list ya wale ambao milango yao ya neema mwaka 2015 imeanza kufunguka mapema.
Yemi ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba tayari kasign deal la kutangaza bidhaa za kampuni ya dawa ya mswaki ya Close Up yeye ni wa pili baada ya Davido kusign deal na kampuni hiyo pia.
Yemi ameshare good news hiyo kwa kuandika hivi; “#CLOSING UP THE YEAR WITH CLOSE UP!!#GOODIES COMING UR WAY FROM D NEW TEAM SOON @davidoofficial “-@yemialade
Mastar hao wawili tayari wameingia moja
kwa moja kwenye kazi ya kutangaza bidhaa hiyo, tayari wameanza kurekodi
matangazo ya bidhaa hiyo kwenye TV.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment