Uttar Pradesh ni mwanamke aliyewasilisha madai hayo huko India dhidi ya mumewe Allahabad,
ndoa yao ina miaka mingi ikiwa hai lakini kwa kosa hili la mume
kumgomea outing mke wake kwenda diner kwenye migahawa mikubwa kama
McDonald, tayari kumetia doa ndoa yao.
Jaji akaona isiwe tatizo, Mahakama
ikakataa kusikiliza kesi hiyo na badala yake, Jaji akashauri
wakamalizane kwa mshauri wa masuala ya ndoa.
Unadhani hii aliyofanya mwanamke huyu iko sawa mtu wangu? Nitafurahi ukiniandikia comment yako.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment