Monday, February 16, 2015

MKUU WA MKOA WA tANGA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI PUNDE

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Said Magalula punde anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari mjini Tanga kuzungumzia tukio la Mapigano Amboni Tanga.

Fuatilia blog hii kwa stories na pichaz


No comments:

Post a Comment