MTOTO KATUMBUKIA HUMU SHIMONI SHUHUDIENI
Wajumbe wa kamati Afya na Mazingira Magaoni A kata ya
Mabawa Tanga pamoja na wananchi wakiangalia
shimo alilotumbukia mtoto wa miaka 8 wakati akitega kambare . Shimo hilo la
zahanati toka lichimbwe limedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja na mkandarasi
kulitekeleza na hivyo kuzalisha mazalia ya mbu na kuzusha kitisho cha magonjwa ya miripuko.
No comments:
Post a Comment