AJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MKUPUO-KIGOMA
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba Manispaa ya Kigoma Ujiji,
Zuwena Abdu (29) amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika
Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni
watatu na mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa
na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama kwa njia ya kawaida
Hutopitwa na habari yoyote inayonifikia na niko tayari kukutumia kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment