Monday, April 6, 2015

WATOTO 4 WAZALIWA MKESHA WA PASAKA KITUO CHA AFYA NGAMIANI, TANGA

 Mkazi wa barabara ya 15 Ngamiani Tanga, Fatma Omar, akiwa na mtoto wake aliemzaa mkesha wa Sikukuu ya Pasaka kituo cha Afya  Ngamiani. Jumla ya watoto 4 walizaliwa kituoni hapo  ambapo wawili walikuwa wa kike na wawili wakiume.



 Mkazi wa Masiwani Tanga, Sophia Mohammed, akimshikilia mtoto wake aliemzaa usiku wa Sikukuu ya Pasaka katika kituo cha Afya cha Ngamiani Tanga.  Jumla ya watoto 4 walizaliwa kituoni hapo ambapo wawili walikuwa wakike na wawili walikuwa wakiume.


No comments:

Post a Comment