KARIBUNI SAMAKI CHEWA
Mchuuzi
wa samaki soko la Deep Sea Tanga, Said Massoud, akisubiri wateja wa samaki akiwemo samaki aina ya Chewa aliekuwa na kilo
50 na kuuzwa shilingi 70,000. leo
Baadhi ya wateja waliofika soko la samaki la Deep Sea
Tanga wakipiga picha ya samaki aina ya
Chewa alievuliwa ambaye alikuwa na uzito wa kilo 50 na kuuzwa shilingi
70,000 leo
Wakazi wa Tanga wakimshangaa samaki aina ya Chewa
aliovuliwa leo bandarini Deep Sea. Chewa huyu alikuwa na uzito wa kilo 50 na
kuuzwa kwa shilingi 70,000.
Wachuuzi
wa samaki soko la Deep Sea , Edward Michael kushoto na Mshihiri Pengo kulia wakimuonyesha
samaki aina ya Chewa baada ya kumnunua kwa shilingi 70,000 leo.
No comments:
Post a Comment